
MILLARDAYO.COM – Vitu Vitano Vya Kufanya Dubai Mtu Wangu
Pamoja na mji wa Dubai kufahamika kwa mashopping ya bei ghali na anasa za kila aina, bado kuna vitu ambavyo unaweza kufanya bila ya kutumia pesa yeyote ile wala kulipa kiingilio, Acha nikusanue!
Hii ni sehemu ambayo unaweza kutazama maji yakiwa yanacheza, sehemu hii kuna njia mbili juu ya maji na taa za LED 3000 ambazo zinamulika maji haya pale ambapo yanaruka juu kupitia njia zake.
Maji haya huwa yanaruka na kucheza muziki wa wasanii tofauti tofauti duniani na show hii huwa inaanza baada ya jua kuzama, mpaka usiku.
Read More @ millardayo.com
Reviews
0 %