INSTAGRAM MENTION – TZTRENDSMEDIA

Baada ya UAE kutangaza kufungia visa raia wa nigeria October 2022, bodi ya utalii ya Dubai imehamishia nguvu yao kwa nchi nyengine za Afrika kama Tanzania, Kenya, South Africa na kutambulisha mabalozi wanaowakilisja nchi hizo akiwemo msanii wa South Africa @thabsie_sa na msanii kutoka Kenya @bahatikenya. Hata hivyo bodi ya utalii Dubai inaendelea kutafuta mabalozi wa kuwakilisha nchi hizo katika kutalii Dubai.

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *